Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini wamepandishiwa gharama za kula kiapo kutoka 5000 - 20000
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mororogo leo tarehe 20 Agosti, 2020 imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwa kukiuka masharti ya dhamana baada ya kushindwa kufika Mahakamani hapo mara mbili mfululizo bila ya kuwa na sababu na kudharau Mahakama.
Kesi hiyo ya...
Mkuu wa wilaya ya Siha ndugu Onesmo Buswelu na Mbunge wa Jimbo Hilo na Naibu Waziri wa Afya ndugu Godwin Mollel wameonekana kuivuruga Halmashauri ya wilaya ya Siha na CCM Wilaya ya Siha kwa kinachoonekana tamaa za madaraka na Vita ya kuwania Jimbo Hilo kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Kumetokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.