Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi.
Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC ikitoa maelekezo kwa sisi viongozi wa Klabu tujaze fomu za maelezo (kama inavyoonekana hapo chini) na...
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara na stahiki nyingine za waratibu wa Press Clubs ambazo zilitakiwa kulipwa hadi kufikia Desemba 31, 2025.
Mishahara hiyo ya miezi minne ikiwa imeambatana stahiki zao za kusitishiwa mikataba na michango ya NSSF. Niliona maandiko kadhaa...
Huwa ninashangaa ninapoona baadhi ya MaRPC nchini wanavyoshirikiana na wanahabari linapotokea jambo linalohitaji taarifa ya Jeshi la Polisi.....hali hii tofauti sana hapa Singida.
RPC SACP Amon Kakwale hapendi na hataki kbs ushirikiano na waandishi. Mara kadhaa amekuwa akikwamisha shughuli za...
Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri.
Hii ni hatari sana jamani, ni vile baadhi ya Watanzania tuna shida ya kutosoma ukomo wa bidhaa kwenye...
Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake.
Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa juhudi zake za kusaidia katika kipindi cha matibu ya Derick Magoma.
Katika ibaada hiyo Mwenyekiti wa...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira.
Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo wakazi wa hapo waliiomba Manispaa ya Kinondoni wawe wanatupa taka hapo kwa nia ya kuzuia mmomonyoko...
Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo.
Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine yakiwemo Kenya, Uganda Malawi kuja kufanyabiashara kwenye soko hili.
Jambo la kusikitisha ni kuwa...
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa.
Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na kuwekwa mabomba ifanyike lakini hadi leo hatujawahi ona maji yakitoka.
Tulijengewa tenki la maji na...
Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana na uongozi wa shule kutoa maelekezo kila mara.
Mfano, Wanafunzi shuleni hapo wanatakiwa kulipa...
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia.
Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa.
Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali.
Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
Sisi watumiaji wa barabara ya kutoka Njelela kupitia Miva na Uwemba Wilayani Ludewa Mkoani Njombe tunasikitika kutelekezwa kwa vifusi vilivyomwagwa kwenye barabara hiyo.
Tunaelewa lengo zuri za Serikali kuweka vifusi hivyo lakini ni mwezi sasa tangu vifusi hivyo vimwagwe jambo linalosababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.