Wakuu samahani mi ni mgeni kwenye hili jukwaa. Ninaomba ufafanuzi juu ya hii option ya many goals second half, hivi ushindi wake unakuaje? Natanguliza shukrani!
wakuu naomba msaada wa kulitatua tatizo hili la laptop yangu kugoma kuzima. Kila nikitaka kuzima niki cick shutdown haijibu chochote had nizime kwa kutumia start buton. Na ikiwaka unakuja ujumbe wa cancell or force to shut down; natumia window7. Natanguliza shukran kwenu.
wakuu kumradhi naomba msaada niweze kutoa sleep timer kwenye tv tajwa hapo juu. tangu niinunue sina raha nayo, inakaa dakika kumi inajizima
. nimejaribu kwa rimot yake hata menu yake haileti, zaid inabadili channels, kuwasha na kuzima tv,kuongeza na kupunguza sauti basi. Natanguliza shukran.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.