Recent content by mletele bondeni

  1. M

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Raba nunueni za mtumba hata pair tano kule mbio sanaa, hata tshet chukua nyingi za kutosha hata 5 na truck suit pair tatu
  2. M

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hawana shida kabisa. Kikubwa ufate maelekezo tu. kile ni chuo kizuri sanaa ukichaguliwa tu jua utasoma sheria kama vile CPA, katiba, Evidence Act na nyingine za polisi but kozi yao nzurii na michezo pia ipo na wanajali sana imani kuna churches na msikiti pia.
  3. M

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Kabisa Kule ni kufuata sheria zao tu. Ukitoka nje ya mstari unapigiwa biglaa mbele ya rc na wrc wenzako then kwenu.
  4. M

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Daaaa CCP Moshi kuamka saa nane usiku,.Maafande hawa Pandu, Frank, Petro, Simtowe na Fimbo ya Musa hatariii sanaaa.Wadogo za ngu jipangeni kule ni nidhamu, utii, weledi na uvumilivu
  5. M

    KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

    Wapi Eliuta, Juru, Pambwe, Jerry, Shija, Mkarabati na bosi Dosa. Kitambo hiyo.
Back
Top Bottom