Hata kama Chadema wanafanya kazi chini ya mti bado ndo chama makini na kinapendwa na wapenda haki wengi.Hivyo acheni kjisumbua.Cha ajabu cdm haitupii madongo vyama vya upinzani maamuluki wataka kupanda ngazi kupitia mgongo was cdm;hamtaweza
Wanaomia watuambie nani aliwajiri?kama ni serikali hio hio je jlipokea rushwa kwa kuwajiri wasio na sifa lakini wakati huo huo wakiridhika na kazi zao?Fanyeni haki kama walitakiwa kuwa na vyeti wangelazimishwa wakasome au wache kazi.Alichofanya mama ni HAKI na alichofanya yule mnajua wenyewe
Hivi bora kipi kujenga miundobinu kwenye vichwa vya watanzania au kujenga Barabara na madaraja zenye upigaji? Mwalimu alilinda raslimali zetu hadi watanzania watakapota maarifa.Mwalimu alijenga heshima na kuondoa migawanyiko baina ya watanzania.Anaweza kuwa na makosa kama bindamu lakini ni...
Labda wabunge wapya;ni rahisi kujua wanamatatjzo ya akili wabunge wa zamani wananaotaka uwakilishi bungeni hata baada ya kuwakilisha miaka kumi bungeni.Hao wajue wanashida ya Akili.Ni lini tutaweza kupata ubunifu na mawazo mapya?Nchi inakawaida ya kusogea haikai mahali pamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.