Ndugu yangu kutoa ni moyo na hiari ya mtoaji. Hao wanaofanya hivyo mara kadhaa kwao kuna matatizo au wenyewe wan frustrations za maisha ndio maana ukiwaomba hawakupi. Pili si lazima kusaidiwa na mtu usiyemjua eti kwa sababu tu anatoa hela kwa wanamuziki. Hiyo ndiyo furaha yake kama wewe ilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.