Kwa iman ya waislam maiti ana haki 4 lazima afanyiwe
1.kuoshwa
2.kuvikwa sanda
3.kuswaliwa
4.kuzikwa
Maiti hasipofanyiwa haya amenyimwa haki zake na waislam wa eneo husika waliosikia na kujua jambo hili wanaingia kwenye zambi...thts y sasa hivi hapa dsm kwenye hospital zote za serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.