Mahaba yakizidi unapoteza hata muelekeo wa kufikiri. Ulitakiwa kumshauri Lissu aacha kutumia matatizo yake kuwa huruma ya Watanzania. Anajua anapendwa kwanini aseme uongo wakati anajua kuna vithibitisho? Huko nyuma alihojiwa na BBC kwa personal vendetta zake alishindwa hata ku acknowledge mambo...
Mayalla you are better than this tripe brother. Yaani unazembea kuchukua tahadhari kwa kisingizio cha kumwachia Mungu?? Inasikitisha kwa mtu wa taaluma yako kuandika hichi ulichokiandika. Halafu ni mapema sana kudhani serikali imefaulu kudhibitu hili gonjwa. Pale ukiona unaowafahamu na kuwapenda...
Pia hajafafanua vizuri wabena wa kilombero na malinyi wanaitwa Wabena Manga. Lugha zao ni mixture na maneno ya wenyeji kwa maana ya wandamba na wapogoro. Chief wao wa mwisho anaitwa Mtema Towegale Kiwanga. Makao yake yalikua Utengule Mlimba Ukikisoma kitabu kiitwacho Ubena Of The Rivers by A. T...
Nimekubaliana na Lissu kila kitu mpaka pale anapoomba hizo sanctions nimetofautiana naye. Nijuacho mimi hakuna nchi yeyote duniani iliyoweza kuumaliza u dicteta kwa kutumia nguvu za nje. Nijuacho mimi nguvu za Umma zina sauti kubwa zaidi ya nguvu za nje. Ukibana pesa Magufuli na familia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.