Recent content by Mkwezi1987

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa, mwenye sifa hizi Umri-25-40 Dini -yeyote Kabila -lolote Kazi- yeyote Sifa zangu ni Umri-34-37 Dini -mkristo Kazi-nimeajiriwa/kujiajiri Mwenye utayari anitafute kwa namba mke mtarajiwa awe na hofu ya Mungu. Pia awe anajitambua na anajua anachofanya .
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Amen
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Hello Wana JF, Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu. Sifa ya Eva ninaye mtaka; ~ Awe na umri 28-35. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila lolote. ~ Akiwa na mtoto haina shida...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Naitwa F mwenye umri 36, dini mkristo, kazi nimejiajiri, mrefu kiasi. Natafuta mke wakuoa mwenye sifa hizi; Umri - 33-38 Dini- Mkristu Elimu - Kidato cha sita na kuendelea. Mtoto - Akiwa naye siyo mbaya. Kabila - Lolote. Urefu- 5.6". Muonekano - Awe wa kati. Kazi - Yeyote ili mradi mkono...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa ndoa

    Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu. Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
Back
Top Bottom