Recent content by MkwereJazzBand

  1. MkwereJazzBand

    Jamani mkopo wa haraka

    Eti collateral vyeti??? Acha utani dogo.... nkt
  2. MkwereJazzBand

    Ni lini Magufuli ataenda kujitambulisha kwa nchi wahisani?

    Wabongo bwana.... kha. Acha Tinga Tinga lisafishe uwovu ubovu na uchafu wa miaka kumi ya Mkwere. Wahisani wa nje sio muhimu kwa sasa. Give the man time to structure his government and ensure proper systems in the civil service. Magufuli hana time na kuuza sura. #HapaKaziTu
  3. MkwereJazzBand

    Mashine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

    Kudadadek.... Magufuli kiboko. What Kikwete failed to do in 10 years for Muhimbili Magufuli anatekeleza in 10 minutes.... #HapaKaziTu. Hamna mdundiko wala nini. Mkwere kaboogie
Back
Top Bottom