Kabla sijaanza kuzungumzia yaliyomo ndani ya kitabu hiki, naomba nianze kwa jambo ambalo limenigusa hata kabla sijafungua ukurasa wa kwanza.
Ninapenda kumpongeza na kumshukuru Mwl. Mbelwa Petro kwa kuamua kwenda sambamba na dunia ya sasa kwa kukisambaza kitabu hiki kupitia majukwaa ya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025 amesema ikiwa kura za Dkt. Samia Suluhu Hassan hazitafika...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025. Akizungumza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Mwl. Mbelwa Petro alisema...
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina silaha 3 muhimu katika uchaguzi mkuu huu wa 2025, ambazo ni;
1. Rekodi ya utekelezaji wa ilani ya...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
Juni 29, 2025 majira ya saa 4 asubuhi Mwl. Mbelwa Petro amewasili ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM} kata ya Ruziba na kuchukua fomu ya kuwania kiti cha udiwani katika kata hiyo.
Kada huyo wa chama cha mapinduzi mara baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa CCM kata ya Ruziba, Cde. Erasto J...
UTANGULIZI.
Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya.
SHUKRANI.
Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
Waasisi wa Taifa letu la Tanzania kwa uzalendo wao walipambana kuifanya ardhi yetu kuwa hifadhi ya viumbe vyote, wenye utamaduni (binadamu) na visivyo na utamaduni (wanyama). Watanzania wa leo tunayo sababu ya kuwashukuru wazee wetu kwa kazi hiyo iliyowashinda waasisi wa mataifa mengine mengi ya...
Ni 4Rs za Mama Samia zilizorejesha uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara, kufutwa kwa kesi za kisiasa zikiwemo za Mh. Mbowe na utoaji wa ruzuku kwa vyama vya siasa ili vijiendeshe. Ghafla CHADEMA mnabweka eti mtatumia nguvu ya Umma kukinukisha? Tangu lini CHADEMA mkawa na...
Tangu serikali ya awamu ya sita chini Rais Dakta Mama Samia ianze kazi, wilaya ya Biharamulo tumenufaika na miradi mingi iliyogusa maeneo yote muhimu ukilinganisha na awamu nyingine zilizopita kibajeti.
Falsafa zake za maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upya, Mama Samia amedumisha utu...
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
WASIRA AYAMALIZA NA MBELWA PETRO WA CHADEMA ZIARA YAKE YA KWANZA MKOANI KAGERA
Na Grace Mpondwe.
Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo mwaka 2020 kupitia CHADEMA amekihama chama hicho na kujiunga na CCM akipokelewa na kukabidhi...
"Ni vigumu kwa chama kilichoshindwa kuweka utulivu kwenye ofisi moja ya makao makuu iliyopo Mikocheni kuweza kuleta amani kwenye nchi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,000 na watu wake zaidi ya milioni 60 ikiwa wamepewa nchi kuitawala".
Mwl. Mbelwa Petro, akiwa anapokelewa na Makamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.