Recent content by mkweli mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kova: Jerry Muro kuchunguzwa kwa hate crimes dhidi ALBINO. Ashangazwa na kimya cha DRFA na TFF

    utani upo ila si wakibaguzi wa rangi au kimaumbile,tusitumie utani kama kivuli cha kumdhalilisha mtu tena kwa maneno yanayolenga mapungufu ya kimaumbile aliyonayo.FAIR PLAY,SAY NO TO RACISM.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar mfike mahali muone aibu.

    kwani rais anapatikana kwa maridhiano au kura zinazopigwa na wananchi? ccm waacheni wazanzibari waongozwe na kiongozi wanayemtaka maana ni haki yao kidemokrasia tofauti na hapo futeni vyama vingi ili tujue nyie ni watawala milele.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kula Kiapo kwa Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, Ikulu Dar es Salaam

    jk alijiangusha mwenyewe dili zilimteka
Back
Top Bottom