Inavyotamkwa nchi Ina vyama 19 vya upinzani, ila kwenye uamdikishaji Hawa wengine wameshachukua Chao mapema, Sasa Hawa waliobaki wakizira unahisi itakuwa nafuu ya nani!?
Ndugu angalia Jambo hili kwenye dimensions tatu, hasa Kwa DSM mji unaokuwa Kwa Kasi ya ajabu, squatter ndio nayo inashamiri, prime area nazo zinaendelezwa squatter, sijajua huu ujasiri wa kumsifia huyu waziri ambaye hakuweka utaratibu wa baadae unaupata wapi!?
Hili suala la uzee unaweza Kuta mpangaji wa mwanzoni Ndio alitumia Kwa kumrubuni Mzee Kwa pesa za uji na mkataba wa miaka kumi!! My Goddess!! Sasa Familia imeshtuka na kuona Bora kuuza, unaweza kukuta familia inapambana na mkataba wa miaka kumi wa mwanzoni wa kinyonyaji na sio mauziano na...
Nenda kwenye Ile petrol station aliyojiapiza nayo pale mikocheni usipoikuta inafanya KAZI as usual, Sasa hii issue ya ya kusema aliiwezea wizara ndio kufuatili personal businesses au!? Kinachotakiwa wizara ifanye ni kuweka Sera na planning ya mipango Bora ya miji,
Makubaliano ya mauziano, is a one time activity, ndio maana hiyo simu Yako baada ya kununua ni mali Yako halali!! Kama Kuna after purchase services haikuondolei umiliki wako!! Hao akina mama wenye frame zao wanatakiwa wajue umiliki umebadilika, Hilo ni la Muhimu zaidi
Ni SAWA Mambo ya familia, yanaweza kuwepo ila pia huo mkataba na huyo mpangaji nao ni ukakasi zaidi , how mkataba for ten years!! Hapana Kuna shida, ila maendeleo ya miji yetu yanawahitaji akina Kuringe wengi zaidi
Ninachokiona huyu maftah alitapeliwa, huwezi mpangisha MTU nae apangishe MTU mwingine bila maridhiano, huyu Dada nae anaisemea kampangisha MTU mwingine, hata NHC hii haikubaliki, Maftah katapeliwa
Labda hata huo mkataba wa miaka kumi maftah alirubuniwa bila kujua madhara yake, hivyo hao wapangaji wajitafakari pia, mkataba wa miaka kumi ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine
Ndugu yangu unaona namna wengi wetu tunavyofikiri, kama huu wivu wa maendeleo ukipungua Tanzania itakuwa kama New York!! Mifremu Ile ya vioo ndio mtu anaisemea pazuri,!? Jukumu la serekali ni kuwawezesha Hawa wawekezaji na sio kuwavunja moyo
Ndio utajua wivu wa watanzania, Kwani kuwekeza ni kosa Gani, zaidi ya kufurahia upanuzi wa wigo wa Kodi!? Pia utoaji wa ajira??? Mtu kauza kiwanja na kuridhia Kuna kosa Gani!? Ni jukumu la wizara ya ardhi kuhamasisha Hawa wawekezaji wawekeze kulingana na mipango miji (kama IPO!!!) zaidi ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.