Habari za leo wadau kwaanayeitaji mahindi kwaajili ya kusaga unga au chakula cha kuku naomba tuwasiliane kwa namba 0767202501 au 0712202501 au 0686202502 mahindi yapo songea.
asante kwa ushauri ila jua bei za mahindi zinabadirika kila leo kaka ndio maana nilishindwa kuweka. specif price hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa ushauri ila kwa ufupi mm ninayo mahindi kwahiyo nilikuwa natafuta watu ambao nitakuwa nafanya nao biashara ya kuwauzi haya mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.