Recent content by mkuuwangome

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini WordPress Developers wanadharaulika?

    Wordpress is still the best CMS
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Shukrani sana Mkuu nimeona ushauri wa Godoro na nimtu wa pili ananiambia wacha nibadilishe Godoro ikiendelea niende kupima sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Asante Sana nahisi nikweli mana Godoro ninalolalia linabonyea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili. Asanteni sana
Back
Top Bottom