Recent content by mkuu7219

  1. mkuu7219

    Maskini Tanzania!

    Nikiwa mtoto niliwaogopa manesi na madokta kwa hofu ya kuchomwa sindano baadaye nikawaogopa polisi na wanajeshi wenye bunduki kwa hofu ya kuuawa. Leo hii nawaogopa wanasiasa wetu kama gonjwa la ukoma. Tanzania wanasiasa viongozi wanakuwa madikteta mafashist na watu wasio na huruma kwa myonge...
  2. mkuu7219

    Maskini Tanzania!

    Ki demokrasia Tanzania ina tofauti gani na North Korea? Inaskitisha zaidi watanzania hatujitambui. Jiulize kuna kosa gani raia akishangilia mbunge wake kashinda? Kwa nini polisi wanawachukulia opposition parties maadaui na kuwapiga risasi za moto na mabomu? Nashangaa sana kuna watu wako hapa...
  3. mkuu7219

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ki demokrasia Tanzania ina tofauti gani na North Korea? Inaskitisha zaidi watanzania hatujitambui. Jiulize kuna kosa gani raia akishangilia mbunge wake kashinda? Kwa nini polisi wanawachukulia opposition parties maadaui na kuwapiga risasi za moto na mabomu? Nashangaa sana kuna watu wako hapa...
  4. mkuu7219

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    MATOKEO ZAIDI //www.electionresults.org/tips Morogoro....... Lowasa 817,029 Magufuli151,774 Rukwa .......... Lowasa 535,845 Magufuli 121,233 Mbeya........... Lowasa 554,701 Magufuli 426,002 Ruvuma........... Lowasa 495,669 Magufuli 226,282 Tabora............. Lowassa 687,983...
  5. mkuu7219

    Opposition Cries Foul as Tanzania Ruling Party Appears to Win Election...

    Well said every single word, ni mfumo ule ule watu wale wale na matokeo yatakuwa yale yale. walisema kabla ya kampeni kuanza mwenye mwali anajua wa kumpa. Ushindi kwa upinzani labda aulete nabii au mtume
  6. mkuu7219

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbeyaaa malofa wamechukua nchi polisi kazini piga piga Mabomu ya kichina yanaendelea kulia huko watu wananawa hawatoki! Mawe kama mvua za msitu wa Amazon
  7. mkuu7219

    Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    ngome! Hiyo hapo Shule ya Msingi Ushindi- Mikocheni B Lowassa 2385 Magufuli 1885 Mbunge Mdee 2472 Kippi 1717 Madiwani Kimei 2309 Denad 1784
  8. mkuu7219

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Rusha data hapa as long as hutangazi mshindi. Hizo karatasi ni public documents ndo maana zinabandikwa vituoni. Na acha kusema nani kashinda hapo ndo unafanya kazi ya NEC
  9. mkuu7219

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wakiandikisha 600 haimaanishi wote wanajitokeza kupiga kura.
  10. mkuu7219

    Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Makamba is in shock the numbers ain't adding up. Mtu ukimshtukiza moja jumlisha moja sasa hivi hawezi kutoa jibu. Ndani ya 24 hours hizo tweets atazifuta. Nimesikiliza press conference ya tume kwa makini sana. Attempt za mwanzo za bao la mkono zimegoma. Imebakia kupachika jina kama walivyofanya...
  11. mkuu7219

    Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Inatokea kwenye karatasi Kama hizo siwezi kuziweka hapa zote
  12. mkuu7219

    Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Na Kwa taarifa za punde Na za uhakika JIMBO LA MTAMA NAPE CHALIIII !!
Back
Top Bottom