Recent content by Mkuu wa mataifa

  1. M

    JamiiForums Tanzania British Council mbioni kufunga Ofisi zake Tanzania kama sehemu ya mpango wake wa kubana matumizi

    NI Ni kurudi majumbani kuangalia utaratibu mwingine
  2. M

    JamiiForums Tanzania British Council mbioni kufunga Ofisi zake Tanzania kama sehemu ya mpango wake wa kubana matumizi

    Mitandao ndiyo sababu. Watu wanapata mahitaji yao kwenye simu zao majumbani Hawaendi huko tena.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JF unapatikana bila VPN?

    Ni wenge lako tu kwa kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kaa nami bwana ni usiku sana usiniache gizani

    Itafute YOUTUBE
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

    BIbi Kiźimkazi haangalii hiyo. Ni kudemka tu kwa kwenda mbele. Bure kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Kujua kwamba atakuwepo pale ilkuwa ni lazima Rais hawezi kwenda mahali bila taarifa. Lazima usalama wa taifa walipatembelea sana hapo kabla hajenda na vifaa vya ukaguzi lazima vilikuwepo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Lakini hili neno halina uhusiano na shughuli iliyokuwa inafanyika pale. Ndiyo maana tunashangaa lilingizwaje pale.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Bunge lilishavunjwa kwa Tulia siyo spika wa bunge. Inatakiwa isomeke "Aliyekuwa spika"
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    Gwajima kumbuka vizuri. Hotuba iliyopelekea kanisa lako kufungwa ni ile uliyoitoa kwenye mimbari ya kanisa na si le kwa waandishi wa hanari
  10. M

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati

    Kwani hapo ni kwenye mimbari ya kanisa?. Nje ya kanisa hakuna shida.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

    Kwani anatafutwa?
Back
Top Bottom