Ndugu zangu nimeweza kulima nyanya, ziliota vizuri na nimejitahidi kuzihudumia dawa aina zote; yaani yakuzuia athari za ukungu na ya kupambana na wadudu haribifu. Sasa cha kushangaza zilipofika hatua za kuweka matunda zimeanza kunyauka, nimeshang'oa miche kama 200 naomba msaada kwa yeyote ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.