wewe ni mpuuzi mimi mwenyewe nilipandishwa cheo tangu mwezi may mpaka leo sijapewa mshahara wa cheo kipya acha kutoa maneno yanayotia uchungu mwambie avae viatu vya watu wa hali ya chini maana yeye anakula bure na kulala bure ndio maana anabaka haki za watu kwa kisingizio cha uhakiki. Sina mengi...
Eti ''najua wapo baadhi walijenga makao ya kudumu Dar es Salaam ila wapo.(NAMSHANGAA HUYU JAMAA NA WENZAKE AKINA WAZIRI MKUU KWANI AJUI WATAKAO PATA TABU SANA NI WAFANYAKAZI AMBAO WALIOMBA VIMIKOPO WAJENGA DAR ES SALAAM ILI KUJISTILI NA FAMILIA ZAO SASA HUU MKURUPUKO HAWAJUI WATUMISHI...
Poleni sana ila atakama zikitoka ni chache nyie mpo wengi haziwatoshi maana utakuta nafasi 3 zinashindaniwa na waitimu 1000. Nawashauri mjiunge makundi kwa makundi mtafute shughuri ya kufanya mtajikuta mnatoka tena mstamani ajira tena labda kwa walimu hao hakuna tatizo hasa wale wa Sayansi...
1.Maafa ya tetemeko:- Mpaka waathilika wa tetemeko mkoani Kagera wapo nje hawajapewa msaada wowote cha kushangaza Serikali inapeleka Unga na Vimchele badala ya kutoa msaada wa Cement, Mchanga,Mabati n.k sasa wanatoa vitu ambavyo ndugu zetu hawaviitaji kabisa na wala sio msaada kwao. Nashauri PMJ...
Mtoto wangu ruksa kudundwa endapo ataonekana anakosa adabu na ataivyo huyu mwanafunzi namtabilia maisha mabaya uko mbeleni pia nawashangaa wazazi wake kutojitokeza na kusema chochote inaonekana wazazi wake hawawai kusoma ata darasa moja mtoto mkaidi lazima apewe azabu, Waziri katoa adhabu kwa...
Binafsi simuelewi Mnyika hasa suala LA MAJI HUKU KWETU MSAKUZI KWA LIPELANYA YAANI NAONA HUYU MBUNGE HAFAI KABISA KUSEMA KWELI UCHAGUZI ULIOPITA NILIMPA KULA YANGU LAKINI SASA NAJUTA KASHINDWA KABISA KUSHUGULIKIA SUALA LA MAJI HUKU MSAKUZI DUMU LA MAJI TSH.15000 TUNAPATA SHIDA KWELI. WAZIRI...
Pongezi sana Tundu Lissu kwa kuwasaidia wafanyakazi mbumbumbu leo hii mstaafu anasumbuka na mafao yake na nadhani hii Serikali imejaa wachawi haiwezekani pesa za watumishi zitumike kutekeleza miradi ambayo ataivyo hazirudishwi badala yake tunakuja na ahadi za kimzuka bila kushirikisha ubongo...
Masikitiko makubwa cha kushangaza juzi Waziri Mkuu alienda kaitaba sijui kufanya nini maana hakuna alichofanya chochote, tulitegemea angetoa tamko lenye matumaini badala yake jana eti anautangazia umma uchangie sijui ni mtu wa namna gani sasa tunangoja leo tuone bos wake ataongea nini...
Nawapa pole waathilika wa tetemeko mkoani Kagera, poleni sana pia nasikitika kuona jinsi Waziri mwenye dhamana alivyokwenda mjini Bukoba na kukutana na waathilika lakini hakuweza kutoa tamko lolote lenye kuleta matumaini kwa watanzania wenzake na walipa kodi badala yake alitoa pole tu...
Zipo standing order za kiutumishi zinazotoa miongozo ya kumuhamisha Mtumishi kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine mfano Mtumishi mwenye Mke/Mme na watoto/tegemezi taratibu zinasema kuwa atalipiwa gharama za kujikimu,mizigo yeye na mwenza wake pamoja na watoto/tegemezi.
Lakini cha...
Jambo la kushangaza na halina ufafanuzi mpaka sasa ni kuona watumishi kwa mishahara ya mwaka huu wa fedha hakukuwa na annual increment vilevile kuna waliokuwa wapepandishwa madalaja na wamepewa barua kabisa lakini hadi leo hawajapewa mishahara yao mipya kwakweli hii sio haki kabisa kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.