kwasisi tunaotafuta wa kubadirishana vituotusikate tamaa kwani ipo siku nasi tutapata wa kubadirishana vituo vya kazisasa basi njooTANGAmim nije mor,pwani,Iringa kwetu na kibahakama upo tayari nicheki kwa0768142527
serikali imekuwa na longolongo nyingi sana.Nanyinyi mnaotafuta ajira msidai kwa nguvu hivyo ndio maana mnakosa nguvu ya kudai haki zenu hata kwa mgomochakufanya ni nini sasa yafaatuwe wavumilivu mpaka ajira mpya zitakapo tangazwa1/04/2014.
Watu tuna taka kuhama kwa sababu tunataka kufanyia kazi karibu na nyumbani kwani watu wanashindwa kwenda kwao kipindi cha rikizo kwasababu ya umbari kutoka eneo la kazi vile vile watu wanashindwa kufanya chochote kile kwa sababu ya umbari wa eneo la kazi na nyumbani. ukichukua mkopo na kusema...
mimi ni mwalimu idara elimu ya msingi natafuta mtu wa kubarishana naye kutoka wilaya yeyote ile ndani ya mkoa wa TANGA Aje wilaya ya kilindi mimi niende korogwe, lushoto,muheza, handenh au bumburi kama upo tayari nicheki 0786515525
Nipo TANGA Mwl; idara msingi Anayetaka kurudi kwao TANGA Namimi nirudi kwetu IRINGA basi anitafute kwa simu 0768142527. Fanyia kazi karibu na nyumbani ili ufanikiwe kujiweka tayari na maisha ya kustaafu.
Nipo TANGA Anayetaka kurudi kwao TANGA Namimi nirudi kwetu IRINGA basi anitafute kwa simu 0768142527. Fanyia kazi karibu na nyumbani ili ufanikiwe kujiweka tayari na maisha ya kustaafu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.