Niko wilaya ya Temeke Kata ya Mianzini Mtaa wa Machinjioni sehemu marufu kama Jenga Uza karibuni kwa Huduma kwa watoto wenu ili waweze kufika malengo Yao sio watoto wa shule ya msingi hata Sekondari ambao kingereza Chao Akiko vzr.
TANESCO tunaomba mturudishie umeme huku Mbagala kwa kwa Mbiku
sio kitu Cha ungwana kutukatia Muda huu na mkitambua kuwa leo Kuna mchezo Muhimu na pia ni mapumziko acheni hizi ujuma
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.