Soma hapa kuhusu Mswati
Nchi nyingine zilizotajwa: Viongozi wengine waliotajwa kuwezesha au kunufaika na mtandao huo ni pamoja na Yoweri Museveni (Uganda), Hakainde Hichilema (Zambia), Bola Tinubu (Nigeria), Daniel Chapo (Msumbiji), na Mfalme Mswati III wa Eswatini ambaye anadaiwa kumpa Chivayo...
Ila akili za maCCM mavi kabisa. Mmefunga Mwenyekiti wao miezi miwili tu baada ya uchaguzi. Mmekifungia chama kwa mwaka mzima. Mmezuia pesa zao bank. Halafu mpumbavu mmoja inakuja kuwauliza Kwanini hamjafanya Mkutano Mkuu wa taifa wa kujadili katiba yenu?
Wajumbe kwenda tu kwenye kongamano...
Wacha nikusaidie kidogo.
Wamarekani wana chaguzi kubwa tatu. Uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Maseneta na Uchaguzi wa wabunge.
Uchaguzi wa Rais ni kila baada ya miaka minne. Uchaguzi wa Maseneta term ni miaka 6. Uchaguzi wa wabunge term miaka miwili.
Kwahiyo uchaguzi ambao huhusisha chaguzi hizi...
Lissu Wakati anapigwa risasi familia yake yote ilikuwa Tanzania.
Wasamalia wema wakamsaidie kwa kuiondoa familia yake TZ na watoto kwenda kusoma USA na mke kwenda Belgium.
Uuaji wenu ndio umeikimbiza familia yake ya Lissu kutoka TZ kwenda kuishi nje.
Wapigania Uhuru Karibu wote wa Afrika...
Kutafuta fursa kuna maana ile ile. Hakuna cha shida wala hiari. Ni kwamba unaenda kutafuta kile huwezi kukipata ulipo.
Watanzania wengi tu wanataka kutoka Ila vikwazo kwao vingi mno.
Pia ni taasisi gani imefanya utafiti huo? Heading inaongelea Kenya
Huo utafiti umefanywa na taasisi gani?
Sisi tulio nje tunajua Watanzania wengi sana wanataka kutafuta fursa nje Ila vikwazo ni vingi vikiwemo lugha, uchumi mdogo, exposure ndogo etc.
Na kwa taarifa yako kundi linalo migrate sana sio kundi la chini kabisa ambako ndio kuna wakulima. Wengi ni...
Tibaijuka ile ilikuwa pesa ya shule. Sema tu kwasababu aliyempatia aliiba na yeye akaingia kwenye kashafa na akawajibika.
Tibaijuka hakufanya ufisadi yeye mwenyewe. Ukiomba misaada ya kusaidia watu huwezi kujua source ya kila pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.