Haramu ni nin??
Nani aliyefanya hiyo haramu?? na nani anapaswa kujua kua hiyo ni haramu ??? Je ni aliyefanya au wanao mtazama ???
Mfano unapesa na hiyo umeipata kwa haramu na hajui mtu yeyote ni ww tu je ni haramu kwa wote wanao tumia au kwa ww tu ???
Kwa mtoto unaweza jiita haramu wakati...
Swali: Naomba kujua kazi ya lipa namba na lengo lake ni nini???
Kuna vitu vinanichanganya ukitaka kulipa kwa simu unakatwa hela maanake inatakiwa uwe na hela zaidi ya hela ile uliyo nayo na ukija kwenye risiti unakuta kuna hela ya makato tena ya kodi sasa kwanin hiyo inayokatwa kwenye lipa isifutwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.