Kaka pole sana, ila jambo moja kubwa la msingi wewe ni mzima wa afya kabisa hajakuachia kilema.
Halafu jifunze kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Ni vigumu ww kukubaliana na hiyo hali kwasababu wewe hujajiandaa kuachana nae. Ili mradi yeye ndio kataka basi kubali kwasababu huwezi kubadili maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.