Recent content by Mkono Wa Nyani

  1. Mkono Wa Nyani

    Kumpenda mtu asiyekupenda

    Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu. Lakini ukitizama WhatsApp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na status. Unabaki ukijiuliza...
  2. Mkono Wa Nyani

    Maswali kuhusu umbo la dunia

    Habari Great thinkers Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani. >Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia? >Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto...
Back
Top Bottom