Recent content by MKONO MTUPU

  1. M

    Ratiba mgao wa maji: Aweso na watendaji wako punguzeni uongo

    Kibaha , ilikuwa leo, yalipofika maili moja mtaa wa shule bomba kubwa likapasuka, uko mbele maji hayakwenda kabisa,hadi sasa yapo yanamwagika tu,
  2. M

    Sindano ya Anti D

    Nimekulewa
  3. M

    Sindano ya Anti D

    Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa pili. Dr. Maelezo yake yalikuwa kwamba mimba ikifikisha miezi saba ( within 7th month_kwa ajili ya...
Back
Top Bottom