Recent content by mkolonimweusi jiwe la mab

  1. M

    Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Kitu niliacha kusikiliza au kutazama ni bunge halina mvuto,bunge lilikuwa Lile la wapinzani,lkn sas hv ni hatari Sana hio muda Bora nikasake hata mkate
  2. M

    Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Sas unadhani ni uongo ulishawai kuzima moto kichaa ndg polini halafu kuwe na upepo. upepo na moto ni petrol
  3. M

    Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

    Mh ni hatari Sana ndg kaa nae kinaga ubaga umuulize
Back
Top Bottom