Recent content by mkolechi

  1. mkolechi

    Kansa stage 4 kufika

    Kwa kienyeji
  2. mkolechi

    Urusi vs Ukraine 24 Nov 2024

    Namhurumia Sana Putin masaa 72 bado hayajafika kumbuka kilometers 61 + 10 hivi ya zanaza vita ziliishia kusikojulikana ,sa hivi anatisha Nyau watu wazima eti nuke wakati Ukraine naye anayo nuke Hadi Sasa ,hizo S 400 + 500 zinapigwa kila uchaosa hivi ameokota mawe anamtishia Zelensk ,Putin akili...
  3. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Kuna watu wanadhani Rusia n i mtemi hivyo ,kumbe ni WA kawaida tu , yeye Rusia Kila akipigwa kidogo anakuja na toleo jipya la silaha ndo ujue ya kuwa ni mweupe ,wenzie wanamsoma tu kwamba yeye ndo wa kwanza kuwa na hypasonic ?wenye mizigo wametulia ,yeye mayowe mengi ,kamaliza kuuwa jeshi...
  4. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Ni sawa na wewe upigane na mwanao alafu una okota mawe ww kumtishia mwanao
  5. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Rusia ni mchovu angekuwa na nguvu ndo angealika msaada wa Korea na china na waarabu ,kombora la ajabu Gani unadhani wengine hawana ajabu ,hiyo storm Shadow ni ajabu kupiga base ya unaemwita mbabe
  6. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Rusia analilia tu ,anatushia nuke ,wakati Ukraine naye anayo nuke akiwasha naye anawashiwa ,Lile Zee ni jinga linaharibu uchumi wa nchi yake raia wanateseka alafu kusifia ujinga ,
  7. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Rusia imekuwa Rusia mwenye air defense nzuri ,anachezea kipigo Cha Ukraine storm Shadow Atacism zinapenya ,kule Iran si alipereke s 300 na S 400 zikatiwa kiberiti zote Bado Ukraine ni mwamba
  8. mkolechi

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    Ww akili yako ni timamu , Ukraine ni ndogo Sana kwa Rusia ulitegenea asisaidiwe ,mbona Rusia na nguvu zake zote anasaidiwa na north Korea china iran ,huoni kuwa ameshindwa Hadi kaomba msaada ,kwa Sasa Rusia hamuwezi zelensk
Back
Top Bottom