Recent content by mkoku

  1. M

    TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

    Sasa wewe bwana mbangaizaji kama mimi hapa, hukusikia kitu SUMAYE alichosema asubuhi kwenye kipindi cha nipashe? Namnukuu. "Madereva wanaowaendesha viongozi wanatakiwa wawe makini sana" Mwisho wa kunukuu. Wewe unayejiita mbangaizaji pamoja nami mbangaizaji mwenzio (wengi hupenda kuniita mkoku)...
  2. M

    Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

    Wandugu, hapa kwetu ni uwongo mtupu. Kwa hilo halitakaa liwezekane. Alichosema BUBU MSEMAOVYO ni sahihi kabisa. Haohao watunga miswada ndo haohao wala rushwa wakubwa. Hakuna cha TAKURU wala cha nini hapa. Naona JK amepunguza ule moto alioingia nao madarakani.
Back
Top Bottom