Recent content by mkoha

  1. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    mwarabu gani huyo? Abbas au ? maana wengi wana biashara ambazo waswahili wengi pia wanazo sio za kutisha sana
  2. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    kumbe ana iveco tu hana kitu kingine anachomiliki? kama ni hizo tu basi hana utajiri wa kiwango tajwa.
  3. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    mimi nazungumzia uwekezaji wa viwanja na majengo kwa mtu anayefocus mbali anaweza kunielewa,,coz utajiri wa magari sio wa kuutegemea,,,investment anazofanya zinaweza kudumu muda mrefu sana.Mfano mzuri kama unaielewa vizuri Songea kuna mzee mmoja anaitwa mahiono kitambo sana kafariki kabla mimi...
  4. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    Pia kwenye ofisi kwa sasa hata Sajda na Kisumapai wapo vizuri ila mazingira wanayoishi sijui yapoje.
  5. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    mtu ambaye anaishi mazingira na kuwa na ofisi yenye hadhi ya kitajiri kwa Songea ninayemfahamu ni Abdallah Selemani ( Ottawa) kuhusu Feo mazingira anayoishi na ofisi zake hazina hadhi inatakiwa washauri wake wamshauri vizuri ,,huyu ottawa anawekeza sana kwenye real estate kwa watu wa Songea...
  6. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    Hii ni kampuni inafanya vizuri kwenye sekta ya usafirishaji abiria na mizigo,,mmiliki mkuu na na wabia wenzake wote ni wakinga kutoka Njombe ,Songea ni wahamiaji sio wazawa.
  7. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    Inategemeana ulipo na shughuli unayofanya kama ulivosema ,,kwa sababu hata matajiri wa kaskazini ili uwajue kama shughuli zao sio za kuonekana sana nje ya eneo lake ni ngumu,,usifikiri hao matajiri wa kaskazini ukimuuliza mtu wa Njombe atawafahamu kama taarifa zake hazipo kwenye mitandao au...
  8. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    kama hivo akina Dae,,mdaka five,,Wella,,Komba na wengineo watakuwa nazo,,,unajua kuna watu wanawekeza kwenye maeneo ambayo ni ngumu kuwatambua,,,mfano kwenye kilimo cha kahawa,,mahindi,,maharage na ununuzi wa mazao kwa ujumla.
  9. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    Mmiliki wa Superfeo sio mzawa wa Songea ila anaishi Songea toka kitambo so ni mzawa wa Njombe ila anaishi na kufanya shughuli zake Songea.
  10. M

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    kama unazungumzia mali zenye hiyo thamani basi ni rahisi kujua na lazima watakuwepo,lakini kama ni cash ngumu kujua,,,maana hiyo ni siri ya mtu.
  11. M

    Biashara ya statoionery

    ok ream papers bei gani?
  12. M

    Biashara ya statoionery

    mbona unashangaa mkuu
  13. M

    Biashara ya statoionery

    Kama mada inavyojieleza,,,naomba kufahamishwa kwa wazoefu na wanaofanya hii biashara,,ni maeneo gani kwa Dar naweza kupata bidhaa kama ream paers,peni na couterbook kwa bei ya jumla. Mpaka sasa nimejaribu kuwaulizia wadau waliopo huko bei ninazopewa kwa maduka mengi zipo juu kuliko za huku...
Back
Top Bottom