Recent content by Mkoba Jnr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    100%
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Huyu si ndio alisema fainali ya shirikishi itapigwa kwa Mkapa ila ikaenda Aman au kumbukumbu zangu hazipo sawa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Hueleweki
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Kwamba unajua kutukana kulio wengine?Una shida kichwani jitafakari.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Tulia. Uwanjani tunakuja na tunacheza ili kuwakomoa hampati point za mezani mpate ubingwa. Tunapiga pale walipopiga Berkane.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Yes kucheza ni muhimu ili kuwaziba midomo. Hawa tukisema tusicheze hatutashushwa daraja wala kupokwa pinits , ila wao watapewa pints na kupewa ubingwa, Na kumbuka hawa jamaa wanachotaka ni ile ubingwa tu. Sasa dawa kucheza nao ili wasi[pate lolote mwaka huu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Lazima tucheze kupambana na hawa wahuni. Wao wanataka tu kupata Ubingwa kwa namna yoyote hata itangazwe leo kuwa ni bingwa watafurahia.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Ukweli ni kwamba Simba Sc wanatamani tusicheze ili wajichukulie kombe kwa ushindi wa mezani. Tukiendelea kukataa kwenda uwanjani hawa jamaa watapewa ushindi wa mezani. Hatutashushwa daraja wala kuporwa points (busara itatumika) lakini Simba atapewa point tatu na hivyo kuwafanya wawe mabingwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

    Timu imeshindwa hata kufanya harakati kwenye box la Berkane. Kuwa shabiki wa Simba ni kipaji
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa CAF kwa kuzuia Matumizi ya Uwanja Mbovu wa Mkapa

    hawajui ilo. Wao akili zao zinawatuma kuwa wakikataliwa Aman kwa hiyo event watarudishwa tena kwa Mkapa. Tena waambie kucheza Kenya au Rwanda wameonewa huruma. Wanaweza kurudishwa tena Morocco kwa awamu ya pili
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    Mnadhani huu ni ule upuuzi wa kudeka kama last born. Gomeni muone kama watahairisha kama mlivyofanya kwenye derby.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Try Again atuliza taharuki kuhusu Mpanzu, adai Mpanzu ni mali halali ya Simba na alisaini Miaka Miwili ofisini kwake

    Etu yanga ndio wanatengeneza propaganda. Wahuni kweli hawa. Ilawajipange huko kwenye fainali ndipo wachezaji wanaonekana na wadau, uwezekano baada ya fainali wachezaji hawa wa Simba kuchukuliwa na vilabu vya waarabu ni mkubwa. Mpanzu Kibu Camara Ahoua Fadiu SO msimu ujao mjipnage kama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Yanga atishia kuvuruga amani na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    kwa hiyo timu nzima mnamuangalia Mpanzu. Alifanya nini kwenye mechi dhidi ya Mshuajaa mpaka makpelekwa dakika 120 utafikiri mpo kwenye hatua ya mtoano au fainali Mna shida kwa kweli
Back
Top Bottom