Kabla ya hapo onyesha walipopongeza Uteuzi wa Mjema
Usipopata basi unashauriwa kuondoa Negative mentality kwa uteuzi huu
Maana utajitesa sana
Kinana akikohoa unatafsiri Kikohozi hicho cha Makonda
Chongolo akisema amechoka unatafsiri uchovu huo chanzo Makonda
Hebu jikiteni kwenye agenda za...
Ok
Sawa Boss
Kwa Hiyo Wewe na watu wa kariba yako mnataka Serikali Izuiwe isitekeleze Maendeleo???
Natumaini UMEJIELEKEZA vibaya!!!
Rudi nikupate vizuri
Contentious terms of the contract Prof Tibaijuka hawezi kuzifasiri maana siyo taaluma yake, ndo maana unaona ameishia kuvurunda tu, amefasiri kwa Uelewa wake wa Kiingereza na amepotosha meeengi tu
Mimi Naona ungeandaliwa mdahalo ili mbivu na mbichi zitenganishwe
Tibaijuka kasomea sheria lini ??
Mbona ndiye Bingwa huko kwenu kwa Sasa na mfano wa ujasiri kwenu??
John Heche, Mbowe, Msigwa Kuna lolote wanajua kuhusu sheria?? Mbona ndio mouthpieces Wa KUAMINIKA anga hizo kuhusu DPW???
Hoja yako ni Mufilisi
Wenye IQ nzuri Watakupuuza
Sheria ikisimama kwa miguu yake
Siasa ikisimama kwa miguu yake
Unazi wetu ukasimama kwa miguu yake
Hata siku moja hutaona ukaribu wowote Kati ya Hao wawili
Biasness??
Inawezekana
Inategemea Wewe uliyepima Hiyo Biasness ulisimama angle ipi
Maana wapo wengine wanaoona tofauti na Wewe kuwa Mahakama ilitenda Haki
Huenda
Japo sijawahi kujua ukilaza wake
Ninachojua mmoja kamfundisha mwingine
Halafu walishakutana kwenye kupima ukilaza Wote wawili mmoja ambaye ni Lissu akaangukia pua
Inawezekana ni Kilaza kweli
Hii issue wameiendea kimihemko sana
Kwa sasa wengi wataonekana hawakuwa SAHIHI akiwemo MBOWE
Katika hili namuona mzee wa FURSA Zitto akiibuka KIDEDEA, Hakukurupuka kupinga
Ingekuwa vema kama wabunge wangejielekeza KUBORESHA vifungu ambavyo haviko sawa, sasa watuweengi huku nje waliingiza ya...
Hana lolote zaidi ya tribalism ndo inamsumbua
Wakati KIA inajengwa Moshi Idadi ya Watu ilikuwa ndooogo Sana
Atakimbilia Kusema Potentials zilizopo lakini hawezi kusema Mlima Kilimanjaro unaingiza Kiasi gani nchini kulinganisha na Dhahabu na madini Yaliyopo eneo la Geita, Kama ni hifadhi Geita...
Wakati KIA inajengwa Naomba kukumbushwa Population ya Watu Moshi ilikuwa wangapi?
Kwako Wewe neno FORECAST Unalifahamuje as far as Development is concerned
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.