Mwanakijiji nimeanza kukuogopa.
Umenikata nywele zote na kuufunua ubongo wangu kwa habari ya Bunge na Baraza la Wawakilishi.
Nadhani kuna umuhimu wa kuanza kuwaita Wawakilishi ili wawe wanakumbuka kwa nini wapo pale mjengoni.
Aksante sana.
Ulichosema ni ukweli mtupu.
Mkiwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.