Hilo la kusubir unaweza (kwan kila jambo na wakati wake) cha msingi na sekondar huwa ni muda. Wee wataka usubir mpaka ndoa...sawa..ndoa hiyo ni mwaka gani? Una karne ngap za kusubir ndoa...hapo ndipo tatzo linapoanzia. Hakuna anayeshndwa kusubir...ila hakuna anayependa kusubir milele....
Kama...
Ndio naamini unaweza kupata, umewahi kufanya tafsiri yoyote? Kama ndio basi nafasi ipo.na je wewe kwa sasa unafanya kazi gani? Tuma cv yako katika email hiyo na utajibiwa mara moja. Uaisahau kutoa njia za mawasiliano yako.
We are fast growing Swahili translation agency based in Tanzania, working in language training and studies, translations, editing and proof reading. Further more we are making movie sub titling, movie editing, transcriptions, and movie production.
Requirements and qualifications
.The candidate...
Kweli...mawazo yenu yako poa. Yuko dar! Hapa hapa. Ualimu wa private ameomba wanamzingua. Kuhusu hilo kufundisha watoto hao wa mitaani ni safi. Lakin inahitaji vifaa na darasa. Ambalo ni tatizo pia ni suala lingine la kuwapata hao watoto na kuwaweka pamoja. Any way naomba maoni yenu bado.
Sent...
Kuna mdogo wangu amehitimu chuo shahada ya elimu katika masomo ya Swahili na historia! Kuna yeyote anajua anaweza kupata wapi kazi za kujitolea? Au kazi za part time?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wadau habari za jumatatu. Tumeunda kikundi na tunafanya kazi za kutafsiri. Editing, proof reading na writting. Pia tunafanya kazi online kwa kutoa huduma hiyo. Yeyote anayefanya kazi kama hii, naomna atupe ushauri na mwongozo. Pia kama kuna mtu ana kitabu, makala, jarida au maandiko yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.