some big DUDES in wallstreet wanajaribu kumtengeneza jamaa huyu kuwa Rais wa Tanzania kwa manufaa yao..hajafanya jambo lolote la maana kustahili sifa anazopewa na watu wa nangharibi...kuna kipindi aliwahi kupata sijui award gani huko USA , later on nikasikia forbes wanamtangaza kuwa he is among...
NDOCHO NILIKISEMA JUZI LAKINI
Let us think inside the box, outside the box and trash the box and think without a box as well.
Inside the box
CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwa na maneno ya...
we mtoto mpuuzi kweli, kwani hujui asilimia kubwa ya wapiga kura hawana vyama? kuto kuwa na kadi ya uanachama wa chama chochote inatosha kudhihirisha sina chama
kwenye post ya trh 19/6 nilikuwa najaribu ku exhaust all possible culprit wa ulipuaji....na ndivyo watu makini hufanya na si kung`ang`ania posibility moja ama mbili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.