Recent content by Mkimuyangu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

    Tatizo ni wizi wa viongozi kuuza rasilimali za inchi,kupeana vyeo kindugu bila kuzingatia uwezo wa mtu,rushwa, kutokuwa na uzarendo hasa kwa viongozi, na CCM yenyewe imechoka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

    Ndiyo maana mama yenu hajui wenzetu wamepataje maendeleo ni kusifia tu ujingaujinga kila siku
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

    Pimbi kama huyu kesho unashangaa kawa mkuu wa wilaya kweli hii inchi itaendelea kuongozwa na wajinga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Hatujapinga lakini hakuna kwenye Quruani panaposema alipalizwa mbinguni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ujanijibu swala la msingi je Yosefu hukuzaa naye au hakuishi kama mke na mume
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Inamaana hairuhusiwi kuuliza elimu ya kiongozi wako, ni kosa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Kwa hiyo bikira Maria alimpozaa Yesu hakuendele kufanya tendo la ndoa na Yosefu na hakuzaa watoto wengine?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Wameishia dara la saba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Unajua kuna watu waliongoza kalibu Nusu ya dunia? Kwa kutumia elimu ya dini, jalibu kusoma stori moja ya Othoman empire, kuanzia China,Spain mpaka West Africa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Kwa hiyo Bikira Maria anakaa Mbinguni na Mungu, Yaani tuseme hakufa na hatakufa, wakati Mungu anasema kila nafsi itaonja mauti?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Mkwa Mkqawa alisoma
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Mkwawa alikuwa anajua kusoma na kuandika, na alikuwa na elimu ya dini ya Kiisilamu, ndiyo maana vitu vita, ujasiri wake vilichangiwa na elimu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

    Angalia usije ukabadili jina,mpaka nomba ya simu,kuna watu yaliwakuta haya wakati wa mwendazake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia, Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    kwani Ibrahimu alikuwa Muisraeli?
Back
Top Bottom