Mkuu asante kwa kushare fursa nzuri kama hizi ubarikiwe sana. Huu moyo mzuri sana, nadhani na mimi kwako leo navuna nilichowahi kupanda humu JF. Niliwah kushare sana fursa humu ndani Jf miaka ya 2013 bahat mbaya tu nilikaa nje ya tanzania muda mrefu nikajikuta sikumbuki password ya account...
Mkuu salam. Pole kwa changamoto. ata mimi niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi yako , lakini nilitoboa. Nakushauri kama hutojari badirisha biashara, badirisha eneo, na pia usiruhusu kukata tamaa kabisa. sijajua wewe umeoa au umeolewa sijui jinsia yako lakini yote kwa yote kama ata kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.