Great!
Hii ndio formula halisi ya PAYE. Wengi hawaijui hii wanakalia tu mara 11%, mara 18%...PAYE maana yake kila kipato chako kinapoongezeka na kodi inaongezeka, na hii siyo VAT kama mmoja anavyotaka kumislead watu humu.
Formula imeweka bands ambapo mshahara wa mtu ukivuka band moja basi...
Hizo RO system zinafaa sana viwandani.
Kwa mtu binafsi ni vigumu sana ku run na ku maintain. Ni delicate na expensive sana. Mbali ya kuwa na motors zinazotumia umeme mwingi tu, pia kuna parts kama filters zinazohitaji maintenance ya mara kwa mara na replacement. Kuna hiyo membrane filter ambapo...
Strabag gmbH ni kampuni ya kijerumani na makao yake makuu ni mjini Cologne North rhine westfalia.
STRABAG International - Addresses
Hizo nyingine ni branches tu.
Wakuu ni vizuri kupeana hamasa na kupeana moyo ila tuwe realistic!
Ni kweli 40m inajenga nyumba na unahamia ila ni unfinished house.
Hatua za mwanzo za kujenga boma hazitumii gharama kubwa sana lakini kimbembe kuanzia kupaua na finishing. Katika vitu ambavyo ni headache kwenye ujenzi basi...
Mkuu kwanza hiyo siyo navara ni hardboard toleo la 2 kama sijakosea.
Vipi kuhusu kodi umeshalipia?
Vipi kuhusu status ya vibali vingine, maana naona windscreen iko plain. Pickup zinalipiwa mapato, vipi kuhusu hilo.
Naomba majibu hapo mkuu.
Mtu kama huyu ndio anafaa kuongoza nchi hii. Wabongo mnapenda sana kudekadeka na kupetiwa petiwa. Muhongo hana hizo.
Kwake yeye 1+1=2 period. Tunapoteza muda mwingi sana kubembelezana kwenye mambo ya kipuuzi.
Huyu akipewa hii nchi atainyoosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.