Recent content by mkendwa16

  1. mkendwa16

    Rais Magufuli umemsikia Trump kuhusu kuwapa uhuru watumishi wako kufanya kazi kwa uhuru?

    Eti huwezi kusaidia wana nchi wako? Time will tell kama atapita 2020 akatambike atakuwa rais wa kwanza tanzania kuongoza muda mfupi kuliko nchi yoyote Africa mashariki....!
  2. mkendwa16

    Dr. Slaa aliondoka na akili zote CHADEMA, chama kimebaki gulio!

    Slaa katuletea gundu sanaa namlaumu sana
  3. mkendwa16

    Dr. Slaa aliondoka na akili zote CHADEMA, chama kimebaki gulio!

    Bila kumuita huyu mzee chama chetu hakitakuwa na busara
  4. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Duh wacha nichape kazi nijenge taifa langu kipenzi
  5. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Ni kweli kabisa mkuu hatujui maana ya SIHASA kwenye siasa wamejaa matapeli ambao hata sisi tunawajua kuwa nimatapeli sijui tunatatizo gani!!!
  6. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Ninauhakika saa8 yupo mahali ninachoomba tu awe mzima kijana mwenzetu ila kunasiri kubwa sana kuhusu huyu jamaa haiwezekani akapotea kienyeji au kirahisi hivi
  7. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    JamiiForums inamuongea sana kubenea lakini tutakuja sikia tena humu humu ndani kwasababu hata kipindi wanasema slaa atajiuzulu nilibisha sana lakini baadae nilichoka....shikamoo JamiiForums
  8. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Kuna siku humu ndani walisema lowasa jina litakatwa likakatwa wakasema atahamia cdm akaamia wakasema zitto atafukuzwa akafukuzwa kweli na mengine mengi.... shikamoo JamiiForums yetu macho na masikio
  9. mkendwa16

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Wacha tuone majibu tutayapata tu lisemalo lipo na kama halipo laja....shikamoo JamiiForums
  10. mkendwa16

    Wakili Albert Msando: Issue ya Lema inahitaji Busara zaidi ya Ubishi na Ujuaji

    Watanzania tunajisahau sana kwa mambo ya msingi,kingine lema anashindwa kujielewa yeye nikiongozi aliyechaguliwa na zaidi ya watu laki 5 LaZima uangalie unachotamka mdomoni kila siku ni majungu ugomvi majuukwaani toa sera utatufanyia nn wana arusha? Sio ushabiki wa viroba hata Mandela hakuwa...
  11. mkendwa16

    Wakili Albert Msando: Issue ya Lema inahitaji Busara zaidi ya Ubishi na Ujuaji

    Lema anashindwa kuelewa kuwa huyu sio Mkwere ni Ngosha hata majaji wanatakiwa kufanya maamuzi magumu pia mawakili wetu wamekuwa wakiwazarau mahakimu ndio maana hawajipangi wakati Wa kesi wanajua hakuna shida ila hii imewashtua ndio maana hawakuongea kabisa wanajua makosa yao...
Back
Top Bottom