Recent content by Mke wa Ayoub

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nifanyeje

    ninakaribia kufunga ndoa, nikiwa ndo naingia mwaka wa mwisho wa masomo. ninchojiulizaa ni kwama ninatakiwa kushika ujauzito mda gani? maana nikiwa chuo watu wanasema mimba yaweza nisumbua nisisome vizuri. kuna mamlaka moja inaweza kutoa nafasi ya fani yangu mwakani ambapo nitakuwa nimemaliza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananitesa jamani

    pole sana cha msingi achana nae maisha yanasonga, endelea na maisha :typing:
Back
Top Bottom