Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa Exportation, importation na Transit Kwa miaka minne sasa.. Kazi itafanyika Kwa uaminifu.
Naombeni ajira...
Kama unamzigo wowote kutoka Congo na zambia. Mzigo wowote tunakuvushia upande wa Tanzania Kwa usalama kabisa. Nipo boda ya Tunduma.
Kama una mzigo tunaweza fanya kazi. Muda wowote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.