Recent content by mkasi butu

  1. M

    Misemo na majibu ya makondakta

    KWELI WENYE MAGARI BINAFSI WANAKOSA UHONDO NA MAJIBU UA MAKONDA! utasikia! MABISHOO: dah! humu ndani joto! konda; kapandeni friji! mlokole; dereva toa taarab weka nyimbo za yesu! konda; yesu bado hajatoa albamu! sista duu; konda kuna siti humo? konda; kwani wenzio wamekalia madumu! :-)
Back
Top Bottom