Recent content by mkari mkari mindu

  1. M

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    huko ndiko kuvinyima uhuru vyombo vya habari.TBC ilitanga matokeo ya sensa ya uwongo mbona serekari haikuchukua hatua yoyote dhidi ya chombo hicho lakini redio imani ilipokanusha ndio uchochezi.haki inatafutwa kwa mazungumzo lakini inapobidi utafutwa kwanguvu.serekari yapaswa kuwa makini katika...
  2. M

    Lowassa: Vijana wengi wanafungwa kwa makosa madogo madogo

    sasa haya ameyaonae alikuwaga waziri mkuu hakuyaona au kwasababu anataka kugombea uraisi.sipingi alichoongea nisawa
  3. M

    Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

    hello tanzania nakubari ila tunahitaji kufikilia zaidi
Back
Top Bottom