Recent content by mkarangese

  1. M

    Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Nunua mifiko ya magufuli sambaza mtaani kama eneo ulililopo limechangamka kibiashara, ndani ya miezi 3 utapata mtaji mzuri tu.
  2. M

    Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Wengi wanaumia kwa kutokujua, wanaweza kukutajia riba yao ni asilimia 17 kwa mwaka ila ukipiga hesabu vizuri unaona dhahiri uhalisia haupo yaan ni zaidi ya utapeli.
  3. M

    Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Hizo benki uchwara ni wahuni mno, mkopo wao wanatoa haraka ila sasa ukichukua atajutia mno ni lazima kujiridhisha na kuomba ushauri kabla ya yote.
  4. M

    Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Kuna jamaa yangu alitaka kuchukua million 7 kwa muda miaka sita alitakiwa arudishe million 18, nikamwambia achana nao kabisa.
Back
Top Bottom