Ni ajabu sana eneo hili la Goba hakuna maji ya DAWASCO kwa zaidi ya miezi miwili na hakuna sababu yoyote inayotolewa. Eneo linalokosa maji ni eneo la shule ya St Joseph hadi kwa Sanya na, Kontena
Haiwezekani maeneo kama Kimara, Mbezi luis a,bako maji yalikuwa shida miaka yote siku hizi maji...
Kitambo sana hakuna huduma za mipango miji, upimaji na utoaji hati manispaa ya Ubungo. Kila ukienda pale unaambiwa bado bado kisa hawana ofisi baada ya kutimuliwa kinondoni (walibakia pale baada ya mgawanyo)
Jana nimeenda pale nimeambiwa bado mafaili hayajapangwa na eti mtambo wa kuchapa sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.