Recent content by MKAMUAJI

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri please

    Ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja ila hatujafunga ndoa. Home kwetu wanamfahamu, kwao pia wananifahamu. Kiukwel kwa sasa nimefall sana kwa mwanamke mwingine ambaye ndiye hasa natamani awe mke wangu wa ndoa. Tatizo linakuja, huyu wa pili ni dini tofauti na mm japo yu tayari...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameadhibiwa na dunia...

    Usilalamike saaana kwa Mkeo ndo mwenye Makosa. Ila kama vp, na ww fanya mpango mchapie, ili iwe siri ya ndani kwake pia.
Back
Top Bottom