Juzi kama one week nlikua mahali nasubili chakula changu kikitengenezwa, alikuja jamaa anakunywa energy iliyokuwa imechanganywa na kilevi, alinisalimia babu vipi na kunipa tano.
Baadae alianza kunisimulia kisa akiwa na masikitiko makubwa na kuniaahidi hatocheza tena kamwe dubu baada ya kuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.