Njaa kitu mbaya sana jamani. Wote wanaopinga Serikali tatu ni kwa ajili ya matumbo yao. Kwa nini tusiige wenzetu wa Kenya ambao walitengeneza Katiba yao kwa kuwasikiliza wananchi? Mimi nashangaa sana mwanasiasa anapoelezwa kuwa haya ni maoni ya wananchi, lakini yeye bado anatokeza kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.