Recent content by mkalisimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    ya muhimu yanachwa kufanyiwa kazi wanafanya ya lissu ambayo hayana madhara wanacha kufanya yenye madhara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaojiandikisha kwenye BVR ni kwa ajili ya kupiga kura?

    Binafsi nashindwa kuamini kama wimbi kubwa la wananchi kujiandikisha ni kwa ajili ya kupiga kura au wengi tunatafuta vitambulisho kwa ajili ya ya matumizi yetu binafsi. Naamini hivyo maana siku hizi kitambulisho cha mpiga kura kimegeuka kuwa kitambulisho cha taifa ndio maana unaona kuna kundi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi kutogombea tena Ubunge jimbo la Songea Mjini

    peoples power si mchezo tunakuja kwa kasi kubwa sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Kwa ujumla ccm na viongozi wake wanatia aibu kubwa sana kuwasanganya wananchi kwa kupeleka watu pale nkrumah ili washabikie mambo yao ya kifisadi pia ni aibu kubwa sana kwa wasomi wanaotegemewa na taifa hili kununuliwa kifikiri lakini pongezi zangu kwa prof mkangala na dr. mkumbo maana wamesema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    Rais hana lolote la maaana siasa hizi z kidini kalete anarudi kufanya nini kiuukweli katuharibia nchi yetu amani angefanya la maana kuachia ngazi kama anuchungu kwa yanayotokea
Back
Top Bottom