Habari wana jamvi,
Nahitaji kufahamu wapi naweza kupata fundi mwenye ujuzi wa kutengeneza zip za sanduku. Au kuweka zip mpya kwenye sanduku kubwa.
Kama kuna mwenye namba au maelekezo nitashkuru sana. Niko Dar es salaam.
Hello habari wana jamvi, mimi ni mkazi wa dar-es-salaam.
Nahitaji msaada wa kupata location za vyombo vya ndani vya mtumba kwa bei nafuu.
natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.